MACK Yanga, shabiki wa Yanga amesema kuwa Yanga ni tamu,amewazungumzia wapinzani wake Simba pia ambao wanaiwakilisha nchi kwenye mashindano ya kimataifa.
Februari 27 Yanga ilishinda mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Mkapa na watupiaji walikuwa ni Fiston Mayele aliyetupia mawili na Said Ntibanzokiza.