SportsVIDEO:KICHAPO CHA RUVU KUMBE KILIKUWA HAKIWAHUSU Saleh3 years ago01 mins ISSA Azam, shabiki wa Simba amesema kuwa kichapo cha mabao 7-0 ambacho wamewapa wapinzani wao Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho haikuwa juu yao bali walijichanganya na kuna timu ambayo imeandaliwa kichapo hicho. Post navigation Previous: VIDEO:MASAU BWIRE ATAJA SABABU ZA RUVU SHOOTING KUFUNGWA 7-0Next: KIUNGO TEPSI EVANS WA AZAM FC NI NAMBA MOJA