Kuna wakati mchezo unaanza kawaida, lakini sekunde chache baadaye kila kitu kinabadilika. Hiyo ndiyo ladha inayokuja na Mystery Multiplier Drop, kampeni mpya inayowapa wachezaji wa Meridianbet nafasi ya kukutana na vizidishi vya kushtukiza katika michezo yote ya Wazdan inayoshiriki. Kila dau linalokidhi vigezo linaweza kukuweka kwenye nafasi ya kupata bahati nasibu, huku kiwango cha juu kikifika hadi x250 ya dau lako.
Safari hii, bahati haiji kwa njia moja pekee. Kuna vizidishi vitano vinavyoweza kujitokeza, x10, x20, x75, x150 na x250. Hivyo, wakati ukiendelea na mchezo wako, huwezi kujua ni kiwango gani kitakachodondoka. Inaweza kuwa x10, ikaenda juu hadi x20 au x75, lakini pia kuna nafasi ya kukutana na x150 au ile kubwa kabisa ya x250.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kwa mashabiki wa kasino mtandaoni, hii ni nafasi ya kuingia kwenye michezo wakiwa na msisimko wa ziada. Badala ya kuangalia mchezo pekee, sasa kila dau linalostahili linaweza kuambatana na matarajio ya kuona vizidishi vikitokea. Unachohitaji ni kushiriki kupitia Meridianbet na kufuata masharti ya kampeni.
Ukitaka kuwa sehemu ya kampeni hii, usisubiri hadithi za wengine kwanza. Jisajili Meridianbet leo na anza kucheza michezo ya kasino inayoshiriki kwenye Mystery Multiplier Drop. Kumbuka, hakuna anayejua ni lini vizidishi vitajitokeza au vitakuwa katika kiwango gani. Kinachojulikana ni kwamba kuna nafasi ya kukutana na viwango kuanzia 10X hadi 250X.
Sasa swali ni moja tu, bahati yako itashuka kwa multiplier gani? x10, x20, x75, x150 au utasubiri iwe x250. Mystery Multiplier Drop imefungua ukurasa mpya wa burudani kwenye michezo ya Wazdan kupitia Meridianbet.