EPL na LaLiga Kitawaka Leo! Uchambuzi wa Moto, West Ham vs Wolves, Madrid vs Girona

WOLVERHAMPTON, ENGLAND - JANUARY 03: Crysencio Summerville of West Ham United is challenged by Jhon Arias of Wolverhampton Wanderers during the Premier League match between Wolverhampton Wanderers and West Ham United at Molineux on January 03, 2026 in Wolverhampton, England. (Photo by Michael Regan/Getty Images)

Katika dimba la London leo hii kutakuwa na mtanange mkali kati ya West Ham United vs Wolves huku timu zote zikiwa na hali mbaya kwenye ligi. Nani kudondosha pointi siku ya leo?

Ligi kuu ya Uingereza yaani EPL kuna mechi kali kati ya West Ham United dhidi ya Wolves ambapo wenyeji wamekuwa na mwenendo usioridhisha ukilinganisha na matarajio ya mashabiki wao. Katika mechi zao kadhaa za hivi karibuni, West Ham wameonekana kumiliki mpira kwa kiwango kizuri lakini wakishindwa kabisa kubadili umiliki huo kuwa mabao huku mpaka sasa wakiwa nafasi ya 18.

Wolves wao mpaka sasa ndio vibonde wa ligi huku ikiwa ni timu ambayo inapewa asilimia kubwa kushuka daraja kwani mpaka sasa wana pointi 17 kwenye mechi 31 za ligi ambazo wamecheza hadi sasa. Hata wanapocheza nyumbani, ambako walitarajiwa kuwa na nguvu zaidi, wamekuwa wakipoteza pointi muhimu kutokana na kushindwa kulinda matokeo au kushindwa kufunga mabao ya ushindi.

Tofauti yao mpaka sasa ni pointi 12 lakini kule Meridianbet wao wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kutokana na faida ya kuwa numbani. Lakini pia ni mechi ya kulipa kisasi kwa wenyeji kwani mechi ya kwanza wlaipokutana Wagonga Nyundo wa London walipoteza mechi hii.

Pesa kubwa ipo kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Timu hizi, zipo kwenye hali mbaya na leo kila timu ina uwezekano wa kupata matokeo siku ya leo endapo ikichanga karata zake vyema. Je nani unampa asilimia kubwa ya kushinda siku ya leo?. Kwani Wolves ili abaki kwenye ligi inabidi ashinde mechi zake zote.

LALIGA leo patashika nguo kuchanika ni Real Madrid vs Girona ambao mpaka sasa wanashikilia nafasi ya 12 kwenye msimamo wa ligi wakati vijana wa Arbeloa wakiwa nafasi ya 2.

Arbeloa na vijana wake wamepoteza mechi ya ligi iliyopita ugenini na sasa wapo Santiago Bernabeu kusaka ushindi ili kukimbizana vyema kwenye mbio za ubingwa. Hii ni mechi ambayo Real wanahitaji ushindi kwani mpaka sasa wamepoteza mechi mbili mfululizo kwenye mashindano yote.

Girona ni timu ambayo pia haieleweki kwenye ligi inaweza kupata matokeo muda wowote lakini wanakutana na Madrid ambao wametoka kujeruhiwa kwenye mechi zao mbili hivyo ni mechi ngumu sana kwa upande wao.

Si hivyo tu bali wanakutana na Real ambao wana mechi ngumu katikati ya wiki ya Ligi ya Mabingwa kule Allianz Arena Ujerumani hivyo huenda mechi hiyo wakaitilia maanan sana kwani ni muhimu kwao kufuzu hatua ya Nusu Fainali.

Mechi ya kwanza kukutana kwenye ligi msimu huu hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao, na sasa ni pointi 3 ambazo zinagombaniwa na timu hizi mbili. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000. Ingia na ubashiri mechi hii sasa.

Madrid  wanahitaji kushinda nyumbani kwao ili kuweka kujiamini zaidi kuelekea mchezo wao unaofuata kwani pia mbio za ubingwa wa LALIGA ni muhimu sana kwao kufuatia kupoteza mechi yao iliyopita.

Wana wachezaji wenye ubora mkubwa akiwemo, Vini JR, Mbappe, Mastantuono, Camavinga na wengine ambao kwa pamoja wanashirikiana vyema kupambania timu hiyo iweze kufanya vyema.