Mechi Kubwa Ulaya: Sporting CP vs Arsenal, Real Madrid vs Bayern Munich

Ushindi Mnono unakusubiri leo ndani ya Meridianbet kwani hapa unapata, Odds kubwa, Machaguo zaidi ya 1000 na mengine mengi. Ili kubashiri sasa ingia kwenye akaunti yako na ubashiri leo.

Kule Ureno kuna mechi kali kati ya Sporting CP vs Arsenal vinara wa EPL hadi sasa huku Arteta na vijana wake hadi sasa wakitaka kushinda mataji matatu baada ya ukame wa makombe muda mrefu.

Hii ni mechi ambayo inatazamwa kwa jicho jingine kabisa kwenye Soka kwani mpaka sasa Sporting CP wapo nafasi ya 2 kwenye msimamo wa ligi, lakini pia ni mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Ureno. Tuliona alichokifanya kwenye hatua ya 16 bora baada ya kufanya “comeback” ya kibabe kabisa na kusonga hatua inayofuata.

Arsenal chini ya Arteta msimu huu wanahitaji kwenda Nusu Fainali kwenye michuano hii na huenda kama wakifanya vyema kwenye mechi hii wanaweza kufika hatua ya Fainali kabisa. Wanapenda kudhibiti mpira, kujenga mashambulizi kwa utulivu kutoka nyuma, na kusubiri mwanya sahihi wa kushambulia.

Shinda pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Nguvu yao ipo katikati ya uwanja ambapo wanatawala tempo ya mchezo na kuwalazimisha wapinzani kukimbizana na mpira. Arsenal wanapokuwa kwenye ubora wao, ni vigumu sana kuwazuia kwa sababu ya mchanganyiko wa kasi, pasi sahihi, na ubunifu wa washambuliaji wao.

Nidhamu ya ulinzi itakuwa jambo la msingi. Arsenal wanahitaji kuwa makini na mashambulizi ya haraka ya Sporting, huku Sporting wakihitaji kuhimili presha na pasi nyingi za Arsenal bila kupoteza umakini. Makosa madogo yanaweza kuamua matokeo ya mechi hii. Je The Gunners kushinda mechi hii?. Suka jamvi hapa.

Kwa upande wa Arsenal wanaonekana kuwa na faida kidogo katika eneo hili kutokana na ushindani wao wa mara kwa mara katika ligi ngumu kama EPL, lakini Sporting wana faida ya uwanja wa nyumbani na hamasa ya mashabiki wao.

Kwa ujumla, huu ni mchezo unaoweza kwenda pande zote mbili. Sporting wana kasi na ubunifu, wakati Arsenal wana uthabiti na udhibiti wa mchezo. Timu itakayoweza kulazimisha mtindo wake wa uchezaji na kutumia nafasi zake kwa umakini ndiyo itakayoshinda.

Hii hapa mechi ya pesa ni  mabingwa mara nyingi wa michuano hii Real Madrid wakiwa na makombe haya 15 kabatini kwao dhidi ya FC Bayern Munich ambao wameshinda taji hili mara 6.

Real Madrid chini ya Arbeloa akiwa nyumbani anataka kupata ushindi huu muhimu kabla hajaenda kule Allianz kwani ana kikosi imara cha kupata ushindi. Uwepo wa Vini JR, Mbappe, Camavinga na wengine wengi unawapa nafasi ya kufanya vyema kabisa kwenye mtanange huu wa leo japokuwa haitakuwa mechi rahisi kwa upande wao kwani wanakutana na Bayern ambao ni ya moto sana.

Bayern Munich chini ya Vicent Kompany imekuwa ni timu yenye ubora mkubwa kabisa kwani mpaka sasa wamepoteza mechi moja tuuh kwenye mashindano yote, lakini kwenye Uefa hawajapoteza kabisa. Wakiwa na Harry Kane amekuwa na mchango mkubwa sana kwenye upachikaji wa mabao.

Si Harry Kane pekee Bayern wana wachezaji wengi wenye ubora akiwemo Goretzka, Musiala, Gnabry, Olise, Upamecano na wengine wengi ambao mpaka sasa wamefanikiwa kuifikisha Munich kwenye hatua hii ya Robo Fainali.

Real Madrid na Bayern Munich wamekutana sana kwenye michuano hii huku mara ya mwisho kukutana Real waliondoka na ushindi mnono, hivyo hii ni nafasi ya Bayern kupata ushindi na kufuzu. Suka jamvi hapa.

Wakali wa ubashiri Tanzania wanampa nafsi kubwa ya kushinda Bayern kutokana na Real matokeo yake ya kusua sua. Je wewe beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Ingia kwenye akaunti yako na ujisajili hapa.