Hiki Hapa Kikosi cha Stars kitakachoingia kambini Machi 23, 2026

Kikosi cha Taifa Stars kitakachoingia kambini Machi 22, 2026 kujiandaa na michezo miwili ya FIFA Series 2026 itakayofanyika Kigali, Rwanda.

🔥 Macho yote yataelekezwa Kigali kuona kama Stars itaweza kung’ara na kuonyesha makali yake kimataifa.