Soko la ubashiri linaendelea kupokea habari kubwa, safari hii ikiwa ni muungano wa nguvu kati ya Expanse Studios na Stake. Ushirikiano huu mpya unaleta upepo mpya wa burudani kwa wachezaji, ukiwaunganisha wabunifu wa michezo ya kisasa na jukwaa lenye wigo mpana wa kimataifa. Huu ni mwanzo wa zama mpya kwa watumiaji wa Stake kupata burudani ya kweli.
Expanse Studios wamejijengea sifa ya kutengeneza michezo yenye ubora wa hali ya juu na mvuto wa kipekee kama Gates of Olympia, Super Heli, PIA Premium, Keno, Zombie Apocalypse na Wild white whale. Kila mchezo una ladha yake, ukiwa umeundwa kwa ubunifu unaolenga kutoa msisimko na nafasi za ushindi kwa kila aina ya mchezaji.
Nguvu ya Expanse Studios inaungwa mkono na Meridian Holdings Inc., ambayo pia inasimamia majukwaa mengine makubwa kama Meridianbet na mengineyo. Hii inaifanya Expanse kuwa sehemu ya mtandao mkubwa wenye uzoefu na mahitaji ya wachezaji wa kisasa, hivyo kuhakikisha kila huduma wanayotoa inalenga ushindi na burudani ya kiwango cha juu.
Katika kuelezea umuhimu wa ushirikiano huu, Damjan Stamenkovic, mtendaji mkuu wa Expanse Studios, alibainisha kuwa kuingia kwao Stake kunapanua zaidi uwepo wao kimataifa na kuwapa nafasi ya kuwafikia wachezaji wengi zaidi kupitia mifumo ya kisasa ya usambazaji. Hii ina maana moja tu, upatikanaji mkubwa zaidi wa michezo bora na fursa zaidi za kushinda.
Kwa zaidi ya michezo 70 ya kipekee na mtandao wa washirika unaozidi 1,300 duniani, Expanse Studios wanaendelea kuthibitisha ubora wao kila siku. Ushirikiano huu na Stake unaashiria mwanzo wa safari mpya iliyojaa ushindi, burudani na nafasi zisizo na kikomo, hivyo usibaki nyuma, huu ndio muda wa kuingia uwanjani na kunufaika.