Live: Singida Black Stars 1-2 Simba SC

FT: NBC Premier League

Machi 11,2026

Uwanja wa Airtel

Singida Black Stars 1-2 Simba SC

Dakika ya 85 goal Ellie Mpanzu.

Goal Mossi dakika ya 38

Goal Anicent Oura dakika ya 7

Dakika ya 80

Dakika ya 72

Dakika ya 70

Dakika ya 54

Dakika ya 45

Dakika ya 40

Dakika ya 35

Dakika ya 30

Dakika ya 19

Umiliki ni 50/50

Singida Black Stars wamepiga kona 5/6 Simba SC

Mashuti yaliyolenga lango ni Singida Black Stars 4- 6 kwa Simba SC

Mashuti ambayo hayajalenga lango Singida Black Stars 3-2 Simba SC

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.