Sundowns Wapeleka Salamu Nzito kwa Wapinzani, Yatinga Robo

Matokeo ya Leo:

  • 🇸🇩 Al Hilal SC 1️⃣ – 0️⃣ FC Saint Eloi Lupopo 🇨🇩

  • 🇿🇦 Mamelodi Sundowns 2️⃣ – 0️⃣ MC Alger 🇩🇿


📊 Msimamo wa Kundi

  1. 🇸🇩 Al Hilal SC – 11 pts

  2. 🇿🇦 Mamelodi Sundowns – 9 pts

  3. 🇩🇿 MC Alger – 7 pts

  4. 🇨🇩 St Eloi Lupopo – 5 pts

Al Hilal wanaendelea kuongoza kundi kwa pointi 11, wakionyesha uimara wao kwenye mashindano haya. Sundowns nao wanabaki kwenye nafasi ya pili baada ya ushindi muhimu nyumbani.

MC Alger na Lupopo bado wana nafasi ya kupambana katika mechi zijazo, lakini presha imeongezeka huku hatua ya mtoano ikizidi kukaribia.