Djigui Diarra na wenzake wa Mali wametinga robo fainali ya Kombe la Mataifa Afrika AFCON 2025 kufuatia ushindi wa penalti 3-2 dhidi ya Tunisia katika dimba la Mohammed V, Casablanca kwenye hatua ya 16 bora.
FT: Mali π²π± 1-1 πΉπ³ Tunisia
β½ 90+6β Sinayoko
β½ 88β Chaouat
MATUTA:
π²π± Mali: ββ
ββ
β
πΉπ³ Tunisia: β
ββ
ββ
ROBO FAINALI
Senegal πΈπ³ vs π²π± Mali
