Mechi ambazo atazikosa beki wa Yanga SC, Ibrahim Bacca ambayale alipata adhabu ya kufungiwa na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB)
Adhabu hii ilitolewa Oktoba 3 2025 baada ya kikao cha kamati na ikumbukwe kwamba mchezo ulichezwa Septemba 30 2025 ubao wa Uwanja wa Sokoine ukasoma Mbeya City FC 0-0 Yanga SC. Hizi hapa mechi ambazo atazikosa
Yanga SC vs Mtibwa Sugar, Oktoba 29 2025, Uwanja wa KMC, Complex.
Yanga SC vs KMC FC, Novemba 4 2025, Uwanja wa KMC Complex.
Coastal Union vs Yanga SC, Desemba 10 2025, Uwanja wa Mkwakwani.
Yanga SC vs Simba SC, Desemba 13 2025, Uwanja wa Mkapa.
Yanga SC vs Dodoma Jiji FC, Uwanja wa KMC Complex, Februari 18 2026.
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.