Kiwanja Kinauzwa – Bagamoyo, Kaole Magambani

Kiwanja kipo Bagamoyo, Kaole Magambani (Nyuma ya Bagamoyo Secondary School) katika eneo tulivu na salama.

Umbali wa mita 500 kutoka barabara ya lami

Umbali wa mita 500 pekee kutoka ufukweni mwa bahari

📏 Ukubwa na Sifa

Eneo lina ukubwa wa 848 sqm (limepimwa rasmi)

Tambarare, linafaa kwa ujenzi wa makazi au biashara

Ardhi ya kichanga, rahisi kuchimba na kujenga

Vipimo vya mipaka (pembeni) vimepimwa vizuri – hakina kona tata

💰 Bei

Tsh Milioni 25 (maongezi yapo kulingana na makubaliano)

📞 Mawasiliano
Kwa maelezo zaidi au kutembelea eneo, wasiliana nasi kupitia:
Call / WhatsApp: +255 795 303 038