Bournemouth, Fulham, Osasuna, Getafe – Odds Moto Moto Leo!

Leo ni siku nyingine ya burudani kwa mashabiki wa soka, ni siku ya miamba mbalimbali kupimana nguvu, na kwa wabashiri makini, ni siku ya kuchuma faida. Meridianbet imeweka odds zinazotikisa, na viwanjani leo pamejaa presha, mbinu, na burudani ya hali ya juu.

EPL ni siku ya Bournemouth dhidi ya Fulham. Vitality Stadium leo ni uwanja wa maamuzi kwa mwenyeji ama mgeni. Bournemouth wanatafuta kuendeleza rekodi yao nzuri, huku Fulham wakisaka kujikwamua baada ya kipigo kutoka kwa Aston Villa. Mechi ni ya kasi, na kwa mbashiri, ni fursa ya kuchukua faida kupitia odds za Meridianbet.

Osasuna nao wapo uwanjani dhidi ya Getafe kwenye michuano ya La Liga. Ni pambano la kiufundi na mbinu kali. Osasuna wanataka kujiimarisha hasa wakiwa uwanja wa nyumbani, lakini Getafe hawajaenda kupiga picha. Mechi hii ni ya kuamua nani anastahili nafasi ya juu, na kwa wale wanaojua kuchambua takwimu, Meridianbet imeweka odds za kuvutia.

Meridianbet haijabaki nyuma. Kasino mtandaoni, mechi za kimataifa, na promosheni za kila siku zinakupa nafasi ya kuongeza kipato. Jiunge sasa kupitia meridianbet.co.tz au piga *149*10# kwani safari ya ushindi inaanza sasa.

Ndani ya Bundesliga, ni Hoffenheim wakiwapokea Cologne. Timu zote zina alama saba, zikiwa na utofauti wa magoli tu hivyo kumuweka Cologne juu. Hoffenheim wanahitaji ushindi wakiwa nyumbanii, huku Cologne wakisaka kupanda juu zaidi. Mechi ni ya nguvu kwa nguvu, na odds za Meridianbet zinakupa nafasi ya kutabiri kabla ya dakika ya 90.

Kwa upande wa Serie A, Verona anawakaribisha vijana wa Sassuolo wanaonolewa na Fabio Grosso. Verona bado hawajaonja ushindi, lakini wanacheza nyumbani dhidi ya Sassuolo waliopata ushindi mara mbili tu. Dimba la Bentegodi linakuwa jukwaa la matumaini, na kwa mbashiri, odds zipo tayari kugeuza takwimu kuwa ushindi.

Vilevile, Paris FC wanakua mwenyeji wake Lorient kwenye mchezo wa ligi kuu Ufaransa, Ligue 1. Paris FC ni wageni kwenye ligi hii kwani ndo msimu wao wa kwanza mara baada ya kupanda daraja. Wanakutana na Lorient, wote wakiwa na alama saba. Odds za Meridianbet zinakupa nafasi ya kuchagua mshindi kabla ya mpira kuanza.

Leo ni siku ya kuchagua kwa ujasiri. Ukiwa na Meridianbet, kila mechi ni fursa ya ushindi, na kila dau linaweza kuwa tiketi ya mafanikio. Twende uwanjani, twende kubashiri na meridianbet.