Atalanta, Real Madrid, Chelsea na Liverpool Viwanjani Leo – Champions League Yazidi Kunoga

Leo usiku, viwanja vya soka barani Ulaya vitageuka majukwaa ya ufundi, kasi, na ushindi wa kihistoria. Raundi ya pili ya UEFA Champions League inatua kwa kishindo, na Meridianbet inawasha moto wa bashiri, ni wakati wa kuchagua, kubashiri, na kushinda.

Baada ya kuchakazwa na PSG, Atalanta wanarudi nyumbani wakitafuta ukombozi. Lakini mbele yao ni Club Brugge waliowasha moto kwa kuizamisha Monaco 4-1. Mechi hii ni nzito sana kwa timu zote na imepewa odds kabambe kutoka Meridianbet. Je, Waitaliano wataamka au Wabelgiji wataendeleza moto?

Real Madrid, mabingwa wa kihistoria, wanakutana na Kairat Almaty waliopigwa 4-1 na Sporting CP. Madrid walishinda kwa taabu dhidi ya Marseille, lakini leo wanakuja na meno yote nje. Bashiri ya mabao, ushindi, au hata clean sheet, zote zina odds kabambe kwani meridianbet inakupa kila njia ya kushinda.

Kwa mashabiki wa soka na wabashiri wa kweli, usiku huu ni wa kuchagua kwa akili na kuweka bashiri sahihi huku michezo mingine mbalimbali ya kasino mtandaoni ikiendelea kutoa matajiri. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# kujiunga na ushinde sasa.

Diego Simeone anaingia Metropolitano akiwa na deni la mashabiki wa Atletico Madrid. Frankfurt waliwafunga Galatasaray 5-1 na sasa wanakuja na moto wa Bundesliga. Mechi hii ni ya akili na mbinu mbadala kwani timu zote zipo kwenye ubora wa hali ya juu,na odds za Meridianbet zinakupa nafasi ya kuchagua mshindi kabla ya dakika ya 90.

Tottenham wanatua Norway kukutana na Bodoe/Glimt waliotoka sare ya 2-2 dhidi ya Slavia Prague. Spurs walishinda kwa tabu dhidi ya Villarreal, lakini baridi ya Arctic ni mtihani wa kweli. Meridianbet inatoa odds za kuvutia kwa wanaoamini katika ushindi wa ugenini au sare ya kuvutia.

Miaka 25 tangu aanze ukocha, Jose Mourinho anarudi Stamford Bridge kama kocha wa Benfica. Chelsea walichapwa 3-1 na Bayern, huku Benfica wakipoteza kwa Qarabag licha ya kuongoza. Mechi hii ni ya kihistoria, na Meridianbet inatoa odds za kipekee kwa wanaoamini katika hadithi ya Mourinho au nguvu ya vijana wa London.

Liverpool walipambana na Atletico na kushinda 3-2. Sasa wanatua Istanbul kuwakabili Galatasaray waliopigwa 5-1 na Frankfurt. Arne Slot ana kikosi chenye kasi na uzoefu, na odds za Meridianbet zinatoa nafasi ya kuchagua mfungaji wa mwisho, idadi ya mabao, au hata dakika ya bao la kwanza.

Bayern waliishushia kipigo kizito cha mabao 3-1 Chelsea na sasa wanakutana na Pafos FC waliotoka sare ya 0-0 dhidi ya Olympiacos. Harry Kane anaendelea kuwika, na Meridianbet inatoa odds kabambe kwa wanaotabiri ushindi wa mabao mengi au hata clean sheet.