BETWAY INAPANUA UZOEFU WA KASINO KWA KUTAMBULISHA MFULULIZO WA MICHEZO YENYE UPEKEE

Betway, Kampuni inayoongoza Duniani kwenye michezo ya kubashiri na burudani mtandaoni, inajivunia kutambulisha ofa yake mpya: Mfululizo wa michezo ya kipekee ya kasino inayopatikana kwenye jukwaa lake lenye ubora wa kiwango cha kimataifa. Uzinduzi huu wa ni sehemu ya ahadi endelevu za Betway za kuwapa wachezaji wake thamani, msisimko na ubunifu zaidi.

Mkusanyiko mpya unajumuisha michezo mbalimbali iliyobuniwa kwa ushirikiano na watoa huduma za michezo wenye viwango vya kimataifa, ikitoa uzoefu wa kipekee wa mchezo ya kubashiri na vipengele vinavyosisimua ambavyo haviwezi kupatikana mahala pengine popote. Kwa mashabiki jasiri wa michezo ya crash, fika kileleni na FlyX™ au kwa wapenzi wa roulette yenye hadhi isiyokoma, kuna Betway Easy Roulette. Kwa mashabiki wanaotafuta msisimko wa kweli, kuna Kings of Cash pamoja na michezo mingine kama: Blackjack, Game Shows, Baccarat, Virtuals, Poker na Sicbo. Hakika, Betway inafungua fursa nyingi zaidi kwenye ulimwengu wa burudani.

Calvin Mhina, Meneja Masoko wa Betway Tanzania amesema, “Betway Exclusives ni njia bora ya kutoa huduma kwa wateja wetu na kuwatengeneza njia nzuri zaidi kwao kushiriki kwenye michezo yetu. Huu ni ushahidi wa kujitolea kwetu kwa ubunifu na ubora, ikionyesha jinsi tulivyoshirikiana kwa karibu na washirika wetu. Lengo letu ni kuwapa uzoefu ambao si tu unafurahisha bali pia ni wa kipekee kwa chapa ya Betway.”

Wachezaji wanaweza kucheza michezo hii ya rahisi na kipekee kwenye kompyuta, simu zao za mkononi na kwenye app ya Betway, kuhakikisha burudani ipo kila wakati kwa kubofya tu. Kwa taarifa zaidi kuhusu promosheni na vipengele vingine vya Betway, tembelea tovuti yetu kupitia www.betway.co.tz