MERIDIANBET YAKABIDHI DUSTBINS HOSPITALI YA KIFUMA, YAAHIDI KUENDELEA KUSAIDIA JAMII

Kama kawaida ilivyo kwa wakali wa ubashiri Meridianbet kuerejesha kwa jamii, Leo hii ilikuwa ni zamu ya Kifuma Hospitali ambao walifurahia ujio wa Meridianbet wa kuwapelekea Dustbins kwaajili ya kuhifadhi takataka.

Msafara huo wa kufika katika hospitali hiyo ambayo inapatikana maeneo ya Sinza uliongozwa na Afisa Mahusiano Nancy Ingram akiwa na wenzake ambao kwa pamoja walipokelewa vyema kabisa na uongozi wa hospitali hiyo.

Bila kupoteza muda kabisa wawakilishi hao wa Meridianbet Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania walianza kufanya kilichowapeleka ambacho kilikuwa ni kutoa Dustbins ambazo ndizo waliziandaa kwaaajili ya kutoa msaada kwenye hospitali hii ambayo ipo mjini kabisa.

Msukumo wa kutoa Dustbins ulikuja baada ya kugundua kuwa hospitali hiyo ya Kifuma ni moja ya hospitali ambazo hutembelewa na wagonjwa wengi kutokana na utoaji wao bora wa huduma hivyo hata mazingira kuwa na ongezeko la taka ni rahisi sana ndio maana wakali hawa wa ubashiri waliona hii ni fursa nzuri kabisa ya kufika hospitalini hapo.

Uongozi wa hosptali ya Kifuma walifurahia sana ujio wa Meridianbet kwani walikuwa kama wakombozi wao kwani uhitaji wa Dustbins ulikuwa mkubwa sana hasa baada ya kuwa na watu wengi wanaokuja kutibiwa hapo.

Utajiri wako upo kwenye michezo ya Kasino siku ya leo ingia na ucheze Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli  na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Akizungumza wakati wa makabidhiano, Afisa Mahusiano wa Kampuni hiyo Nancy Ingram alisema kuwa, “Meridianbet inaamini afya bora inaanzia katika mazingira safi. Kupitia msaada huu wa dustbins, tunataka kuunga mkono juhudi za Hospitali ya Kifuma katika kuhakikisha usafi unazingatiwa kila wakati. Ni jukumu letu kama kampuni kuhakikisha tunarudisha kwa jamii na kushirikiana nao katika kuleta mabadiliko chanya.”

Na pia kwa upande wa Hospitali hiyo ya Kifuma hapo Sinza baada ya kupokea Dustbins hizo alisema kuwa, “Tunafurahi kuona Meridianbet imetambua changamoto yetu ya taka na kuja na suluhisho. Msaada huu utasaidia kuboresha mazingira ya hospitali na kuimarisha huduma kwa wagonjwa wetu.”

Kwa msaada huo ambao Meridianbet ilipeleka katika hospitali hiyo, inathibitisha kuwa kampuni hiyo si kwaajili ya michezo tuu bali ni kwaajili ya kuangalia na kutatua changamoto ambazo zinaikabili jamii yetu kwenye sekta mbalimbali ikiwemo na afya pia.

Meridianbet itaendelea siku zote kuwaunga mkono watu wenye uhitaji katika jamii yetu kwani wao na jamii wanategemeana kwa kila kitu. Lakini pia Kampuni hiyo inawashihi watu kutunza mazingira kwa kutokutupa taka hovyo ili kujiepusha na magonjwa mbalimbali.

Leo hii mechi kibao zinaendelea ambapo ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yanapatikana Meridianbet pekee. Ingia na utengeneza jamvi lako la ushindi hapa.