NANI ATAIBEBA FA CUP 2025? MERIDIANBET YAKUWEKEA ODDS KUBWA”

Huku timu kibao za Uingereza zikiendelea kutafakari nani atakuwa bingwa wa FA CUP msimu huu, tayari mabingwa wa ubashiri Tanzania Meridianbet wanakukaribisha usuke jamvi lako la ushindi.

Arsenal wapo kwenye nafasi ya kuwa washindi wa FA Cup kwani mpaka sasa wana ODDS 7.00. Ikumbukwe kuwa vijana wa Arteta msimu uliopita walikosa makombe yote hivyo msimu huu wanataka angalau waondoke na mataji. Je The Gunners wanaweza kuondoka na taji hili msimu huu?. Jisajili hapa sasa.

Katika dimba la St James’ Park nao Newcastle United pia wanapewa nafasi ya 5 kuondoka na kombe hili wakiwa na ODDS 10. Msimu uliopita Eddie Howe na vijana wake walifanikiwa kuchukua kombe la Carabao baada ya kumfunga Liver. Je msimu huu wataondoka na makombe mangapi?. Tandika jamvi ndani ya Meridianbet na uipe ushindi Magpies sasa.

Bingwa mtetezi wa Kombe hili Crystal Palace wao kutetea taji lao wamepewa ODDS 34. Timu hii ni moja ya timu ambazo hazijapoteza mechi yoyote kwenye ligi hadi sasa wakiwa wamekusanya pointi zao 5. Vilevile timu hii imeonekana kuwa ngumu sana msimu huu kwani wana wachezaji wenye uwezo mkubwa wa kufanya chochote wakati wowote. Tengeneza jamvi hapa.

Michezo ya Kasino leo ipo kwaajili ya kukutajirisha, Cheza Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Nao Liverpool ni moja ya timu ambayo inapewa nafasi kubwa kabisa ya kushinda kombe hili kule Uingereza wakiwa na ODDS 5.00. Vijana hao wa Arne Slot ambao ndio mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Uingereza wameanza ligi vyema kabisa baada ya kushinda mechi zote huku wakiwa pia wamefanya usajili mkubwa kabisa msimu huu wa wachezaji mbalimbali kama vile Isak, Wirtz, Ekitike nk. Je Liver watashinda kombe hili?. Bashiri hapa.

Nafasi ya 2 ya kushinda Kombe la FA inaenda kwa vijana wa Pep Guardiola, Manchester City ambao msimu uliopita walipoteza fainali hiyo kwa bao 1 pekee. Hivyo safari hii wanataka kuhakikisha wanaondoka na ushindi mkubwa kabisa. Meridianbet wameona kuwa 5.50 ndio ODDS za timu hii kuwa mabingwa. Je wewe beti yako unaiweka wapi leo?. Suka jamvi lako hapa.

Halikadhalika naye vijana wa Darajani Chelsea wapo kwenye mbio za kuwania ubingwa wa FA CUP ambapo pale Meridianbet wameipa ODDS 8.00 kushinda kombe hilo. Mabingwa hawa wa Kombe la Dunia ngazi ya vilabu kwenye mechi tatu za ligi ambazo wamecheza wamekusanya pointi 7. Je beti yako ya kuipa timu ushindi wa kombe hili unaiweka wapi?. Bashiri hapa.

Vilevile Manchester United ni moja ya timu ambazo msimu huu wapo kwenye kushindania mataji ya ndani pekee ikiwemo Ligi, Carabao na FA kwani walishindwa kufuzu kucheza michuano mikubwa ya Ulaya. Hivyo FA ni moja ya malengo yao makubwa msimu huu. Amorim na vijana wake kwenye mechi tatu wana ushindi 1 pekee. Na kushinda kombe hili wana ODDS 17. Bashiri hapa.