NANI ATAIBEBA FA CUP 2025? MERIDIANBET YAKUWEKEA ODDS KUBWA”
Huku timu kibao za Uingereza zikiendelea kutafakari nani atakuwa bingwa wa FA CUP msimu huu, tayari mabingwa wa ubashiri Tanzania Meridianbet wanakukaribisha usuke jamvi lako la ushindi. Arsenal wapo kwenye nafasi ya kuwa washindi wa FA Cup kwani mpaka sasa wana ODDS 7.00. Ikumbukwe kuwa vijana wa Arteta msimu uliopita walikosa makombe yote hivyo msimu…