KIVUMBI CHA ULAYA: YOUNG BOYS, BRAGA, DYNAMO KYIV VITANI USIKU WA LEO

Je unajua kuwa siku ya leo ushindi wako hauko mbali ukiwa na wakali wa ubashiri Meridianbet?. Basi ni rahisi sana tengeneza mkeka wako wenye mechi uzitakazo na ubeti kijanja sasa.

Young Boys Bern baada ya kushinda mechi ya kwanza mechi hii, leo hii atakuwa nyumbani kusaka nafasi ya kufuzu michuano hii dhidi ya Slovan Bratslava ambao hawapewi nafasi ya ushindi siku ya leo wakiwa na ODDS 4.00 kwa 1.78. Machaguo zaidi ya 1000 yapo mechi hii pia. Beti hapa.

Pia PAOK Thessaloniki ataumana dhidi ya HNK Rijeka ambao mchezo wa kwanza walipokutana, walipigwa. Mwenyeji leo hii ndio anayepewa nafasi ya kushinda ndani ya Meridianbet leo akiwa na ODDS 1.52 kwa 4.60. Mechi hii pia ina machaguo zaidi ya 1000. Wewe jamvi lako unaweka wapi?. Tengeneza jamvi hapa.

Mpunga mkubwa upo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Kwa upande wa Samsunspor wao watakuwa kibaruani kumenyana vikali dhidi ya Panathinaikos Athens ya kule Ugiriki. Takwimu zinaonesha kuwa mtanange wa kwanza walipokutana, mwenyeji alipoteza, hivyo sasa kazi ya leo ni kusawazisha na kuongeza mtaji. 2.50 kwa 2.70 ndio ODDS za mechi hii. Beti yako unaiweka kwa nani leo?. Jisajili hapa.

Pesa ipo mechi ya Kuopion Palloseura dhidi ya FC Midtjylland ya kule Denmark ambao mechi ya mkondo wa kwanza waliondoka na ushindi mnono. Mwenyeji anataka kulipa kisasi na kupindua meza lakini je mlima huu ataweza kuvuka?. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 4.10 kwa 1.75. Jamvi lako unaweka wapi kwenye mechi hii?

Vilevile katika dimba la Andruv stadion kutakuwa na mechi kali kati ya SK Sigma Olomouc dhidi ya Malmo FF ambao mechi ya kwanza walipokutana walishinda tatu nunge. Kila timu inahitaji nafasi ya kushiriki michuano ya Ulaya msimu huu. Mechi hii imepewa ODDS 2.75 kwa 2.41. Pesa yako unaiweka kwa nani leo?. Suka jamvi hapa.

KKS Lech Poznan atakuwa mgeni wa KRC Genk ambao walishinda kwa kishindo mechi yao ya kwanza. Genk anahitaji kujilinda siku ya leo kwani tayari ana mtaji wa mabao mengi sana, lakini mgeni yeye anahitaji kupata ushindi angalau ili aweze kufuta aibu. Nafasi ya kushinda siku ya leo amepewa 1.43 kwa 6.40. Beti hapa.

Kivumbi kitawaka mechi ya Dynamo Kyiv dhidi ya Maccabi Tel Aviv FC ya kule Israel wakati mwenyeji yeye anakipiga kule Ukrain. Patawaka na kuchimbika leo hii huku nafasi ya kuondoka kifua mbele amepewa mwenyeji akiwa na ODDS 2.25 kwa 3.00. Tofauti ya magoli kati yao ni 2. Nani kushinda leo?. Jisajili hapa.

SC Braga atakuwa dimbani kukiwasha dhidi ya Lincolin Red Imps ambao walipokutana mechi ya kwanza, mwenyeji aliondoka na pointi 3 za uhakika na mabao ya kutosha. ODDS za mechi hii ni 1.08 kwa 25. Pesa yako unaiweka kwa timu gani siku ya leo?. Tandika jamvi hapa.