Nafasi ya Kuwa Bingwa Ipo Meridianbet Leo

kucheza mechi nyingi za kirafiki. Lille kushinda mechi hii ana ODDS 1.60 kwa 4.80. Jisajili hapa.

Huku Arsenal wao leo hii watapepetana dhidi ya Villarreal ya kule Hispania. Vijana wa Arteta wamefanya usajili mkubwa msimu huu na wanataka makombe makubwa hivyo ushindi kwao ni muhimu sana ili kujua wapi bado hapajakamilika. Bashiri mechi hii kwa ODDS 1.43 kwa 6.00.

Kutoka kule Italia  AS Roma atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Aston Villa ya Uingereza ambao wanajiweka vizuri pia kwaajili ya msimu mpya. Roma leo hii kushinda mtanange huu wana ODDS 3.00 kwa 2.04. Je nafasi ya ushindi wewe unampa nani leo?. Suka jamvi hapa.