Kikosi cha Yanga SC vs Tanzania Prisons, Juni 18 2025, Uwanja wa Sokoine, Mbeya hiki hapa:-
Djigui Diarra, Israel Mwenda, Boka, Job Dickson, Ibrahim Bacca.
Khalid Aucho, Maxi Nzengeli, Mudathir Yahya, Prince Dube, Pacome Zouzoua na Clement Mzize.
Hawa hapa wachezaji wa akiba:-Mshery Aboutwalib, Kibwana, Kibabage, Nondo, Juma, Andambilwe, Shekhan, Abuya, Chama, Ikanga Lombo.
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Moyo Wangu Unavuja Damu itazinduliwa rasmi Julai 24 2025 usipange kukosa.