Michuano ya Kombe la COSAFA 2025 inaendelea leo kwa hatua ya nusu fainali, ambapo mechi mbili za kuvutia zinatarajiwa kupigwa. Katika mchezo wa kwanza, Angola watakutana na Madagascar saa 10:00 jioni, huku mchezo wa pili ukiwakutanisha wenyeji Afrika Kusini dhidi ya Comoro saa 1:00 usiku. Kwa wale wabashiri, Meridianbet imeandaa mazingira bora ya kubashiri kwa odds kubwa na machaguo zaidi ya 800 kwa kila mechi.
Madagascar walijikatia tiketi ya nusu fainali baada ya kuongoza Kundi C kwa alama 4, wakipata ushindi dhidi ya Tanzania na sare dhidi ya Eswatini. Tanzania walimaliza nafasi ya pili kwa alama 3, na Eswatini wakashika mkia kwa pointi 1.
Kwa upande wa Angola, walitawala Kundi B kwa kishindo baada ya kukusanya alama 7 kutokana na ushindi dhidi ya Lesotho na Malawi, na sare na Namibia. Namibia walifuata kwa pointi 5, Lesotho wakamaliza na 3, huku Malawi wakiburuza mkia kwa alama 1.
Piga pesa kwenye michuano hii ya COSAFA kwa kubashiri na Meridianbet, Suka jamvi lako hapa lakini pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno na mingine kibao.
Afrika Kusini, ambao ni wenyeji wa mashindano haya, waliongoza Kundi A kwa tofauti ya mabao dhidi ya Zimbabwe na Msumbiji baada ya timu hizo tatu kufungana kwa alama 4. Mauritius walimaliza nafasi ya mwisho kwa alama 3 baada ya sare kwenye michezo yao yote.
Comoro wao waliongoza Kundi D kwa alama 4, wakifatiwawa na Botswana wakiwa na alama2 na Zambia waliomaliza na alama 1, na hivyo kufuzu moja kwa moja hatua ya nusu fainali.
Mchezo kati ya Angola na Madagascar una Odd ya 1.95 kwa Angolana 4.50 kwa Madagascar, na mchezo kati ya Afrika Kusini na Comoro una Odd ya 1.75 kwa Afrika Kusini, 5.40 kwa Comoro pale Meridianbet. Jisajili sasa na uweke ubashiri wako kuelekea michezo hii na Meridianbet.