MICHUANO YA COSAFA KUENDELEA LEO

Michuano ya Kombe la COSAFA 2025 inaendelea leo kwa hatua ya nusu fainali, ambapo mechi mbili za kuvutia zinatarajiwa kupigwa. Katika mchezo wa kwanza, Angola watakutana na Madagascar saa 10:00 jioni, huku mchezo wa pili ukiwakutanisha wenyeji Afrika Kusini dhidi ya Comoro saa 1:00 usiku. Kwa wale wabashiri, Meridianbet imeandaa mazingira bora ya kubashiri kwa…

Read More

MUTALE AWAGAWA MABOSI SIMBA SC

JOSHUA Mutale kiungo mshambuliaji wa Simba SC amewagawanya mabosi wa timu hiyo kutokana na wengine kuhitaji kuona anaondoka huku wengine wakihitaji kuona anabaki ndani ya kikosi hicho. Mutale hakuwa kwenye mwanzo mzuri msimu wa 2024/25 kutokana na mechi ambazo alipewa nafasi kucheza chini ya kiwango. Katika mechi za mzunguko wa pili Mutale amekuwa akifanya kazi…

Read More

KOCHA AZAM FC KUKUTANA NA THANK YOU

INAELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Azam FC inayotumia Uwanja wa Azam Complex kwenye mechi za nyumbani Rachid Toussi atakutana na Thank You baada ya msimu wa 2024/25 kugota mwisho na mabosi wat imu hiyo wameshafanya maamuzi. Taarifa zinaeleza kuwa Azam FC wanasubiri msimu uishe kwa mechi mbili ambazo zimesalia kukamilisha msimu ambapo watakuwa na mchezo…

Read More