SportsVIDEO: JKT TANZANIA HESABU ZIKIFANYA KAZI SAWASAWA HAO KIMATAIFA Saleh38 minutes ago01 mins UONGOZI wa JKT Tanzania umeweka wazi kuwa ikiwa hesabu zitafanya kazi sawasawa wananafasi kubwa kucheza mashindano ya kimataifa kwa kupata matokeo mazuri kwenye mechi ya nusu fainali CRDB Federation Cup dhidi ya Yanga SC. Post navigation Previous: SIMBA SC 5-1 PAMBA JIJI FC, REKODI ZIPO NAMNA HIINext: ORODHA YA VINARA KWENYE UTUPIAJI LIGI KUU BARA