JUMATATU YA KITAJIRI IMEFIKA, FUNGUA HAPA KUPIGA MAOKOTO!

Jumatatu ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3.

Leo hii LALIGA kutakuwa na mechi kali kabisa kati ya Villarreal dhidi ya Espanyol Barcelona huku timu zote zikiwa zimetoka kushinda mechi zao zilizopita. Mwenyeji yupo nafasi ya 5 na mgeni wake nafasi ya 15 mpaka sasa. Nyambizi wa Njano ndio wanaopendelewa kuondoka na ushindi leo hii kwa ODDS 1.45 kwa 7.00. Jisajili hapa.

Shinda mshindo wa maana na Meridianbet leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Aviator, Keno na mingine kibao.

Lakini pia unaweza ukabashiri mechi ya ligi kuu ya Ureno yaani PRIMEIRA LIGA ambapo Sporting Lisbon watamenyana vikali dhidi ya Estoril ambao wapo nafasi ya 8 kwenye msimamo wa ligi baada ya kushinda mechi zao 9. Mwenyeji yupo nafasi ya 1 huku mara ya mwisho walipokutana Lisbon aliondoka na ushindi. Je leo pia ataendeleza ubabe akiwa nyumbani kwake?. Beti mechi hii yenye ODDS 1.20 kwa 12.

Vilevile kombe la FA kule Uingereza raundi ya 5 litaendelea kwa mchezo mkali leo hii kati ya Nottingham Forest vs Ipswich Town. Kwenye ligi vijana wa Nuno wapo nafasi ya 3 huku mgeni wao akiwa nafasi ya 18. Tofauti ya pointi kati yao ni 31 huku mgeni akitaka kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi yao iliyopita. Meridianbet wanawapa nafasi kubwa ya kushinda 1.75 kwa 4.60. Bashiri hapa.

Italia SERIE A itaendelea kwa mtanange mkali kabisa ambapo Juventus baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo atamleta kwake Hellas Verona ambaye naye pia alishinda. Kila timu inahitaji ushindi leo hii isogee nafasi ya juu. Je vijana wa Motta wanaweza ingia TOP 4 leo?. 1.35 kwa 9.40 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.