WAKALI WAKUCHEKA NA NYAVU KISHA WANASEPA NA MPIRA

NDANI ya Ligi Kuu Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika kuna wakali wakucheka na nyavu ambao wameandika rekodi zao za kusepa na mipira Bongo msimu wa 2024/25. Nyota wa kwanza kufunga hat trick ndani ya ligi ni Prince Dube ambaye yupo ndani ya kikosi cha Yanga huyu alifunga kwenye mchezo dhidi ya Mashujaa,…

Read More

MWAMBA MUKWALA AWEKA REKODI YAKE, KAZI BADO

MWAMBA Steven Mukwala ameandika rekodi yake ya kuwa nyota wa kwanza kufunga hat trick ndani ya kikosi cha Simba kwa msimu wa 2024/25 ukiwa ni msimu wake wa kwanza. Nyota huyo anayevaa jezi namba 11 alifanya hivyo kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Coastal Union uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid ilikuwa Machi Mosi 2025…

Read More