AMEWAVURUGA vigogo waliopo ndani ya tatu bora Kocha Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic huku timu hiyo ikiandika rekodi ya kuwa timu ya kwanza ambayo ilipata ushindi mkubwa bila kuruhusu kufungwa na ni mabao 16 Yanga ilifunga kwenye mechi nne na ilifungwa mabao mawili dhidi ya Mashujaa.