MAN CITY WASHUSHA MSHAMBULIAJI TISHIO

Nyota wa kimataifa wa Misri Omar Marmoush ametambulishwa kuwa mchezaji mpya wa Manchester City kwenye msimu wa 24/25.

Omar Marmoush amesaini mkataba wa miaka minne wa kujiunga na Manchester City akitokea Eintracht Frankfurt ya nchini Ujerumani.

Wachezaji wapya wa Manchester City ni Victor Reis, Abdukodir Khusanov na Omar Marmoush.