PIGA MKWANJA WA MAANA SIKU YA LEO

Ijumaa ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3.

Kule Uingereza CHAMPIONSHIP itaendelea kwa mchezo mmoja Burnley FC atamenyana dhidi ya Sunderland AFC ambapo hawa wote wametoka kushinda mechi zao zilizopita hivyo mechi hii ni muhimu kwa wote huku tofauti yao ikiwa ni alama 2 pekee. 2.20 kwa 3.45 ndio ODDS za mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.

Ligi kuu ya Ureno, PRIMEIRA LIGA kuna mchezo mmoja pia mbapo Benfica atakuwa akisaka pointi 3 dhidi ya FC Famalicao ambao wanashikilia nafasi ya 9 kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji yupo nafasi ya 3 huku mechi ya mwisho walipokutana alipoteza. Je mgeni kuendeleza ubabe wake leo?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.21 kwa 12.

Ibuka bingwa leo hii ndani ya Meridianbet kwani odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

LALIGA kuna mechi moja inaendelea leo hii ambapo Espanyol Barcelona atakuwa mwenyeji wa Real Valladolid ambapo tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni pointi moja pekee. Timu zote zipo mkiani yaani wa 18 na 19. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.82 kwa 5.00. Jisajili hapa.

Lakini pia kule Italia SERIE A inaendelea ambapo AS Roma atakipiga dhidi ya Genoa ambapo mtanange wa mwisho kuonana, walitoshana nguvu hivyo leo hii kila timu inahitaji pointi 3 za maana. Je beti yako unaiweka wapi hapa ambapo mechi hii imepewa ODDS 1.50 kwa 6.80.

Ligi kuu ya Ujerumani, BUNDESLIGA kuna mechi nzito ya wewe kubashiri nayo ni Eintracht Frankfurt dhidi ya Borussia Dortmund ambao wametoka kupokea vichapo viwili mfululizo kwenye ligi. Mwenyeji ametoka kushinda kwa kishindo mechi yake iliyopita huku leo hii akihitaji kulipa kisasi baada ya kupigika mtanange wa mwisho wlaipokutana. 2.47 kwa 2.75 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.

Kule Ufaransa, LIGUE 1 nazo zitaendelea ambapo Montpellier atakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya AS Monaco ambao wapo nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi, huku mwenyeji yeye akiwa ndiye kibonde wa ligi hadi sasa. Msimu uliopita walipokutana, mwenyeji alipigika. Je leo hii nani kuondoka kifua mbele?. Tandika jamvi mechi hii yenye ODDS 5.20 kwa 1.58.

Pia kwa upande wa Lille OSC yeye ataumana dhidi ya OGC Nice ambapo tofauti ya pointi kati ya timu hizi mbili ni pointi moja pekee huku timu hizi pia zikifuatana kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji yupo nafasi ya 5 na mgeni wake yupo nafasi ya 4. Je unamdhamini nani akupe pesa siku ya leo?. 2.06 kwa 3.70 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.