Kupitia Shindano la Expanse linaloendelea ambalo linahuisha michezo ya kasino linatoa fursa ya kushinda kiasi cha shilingi milioni moja taslimu kwa kucheza michezo ya kasino,Limebakiza siku nne pekee mshindi apatikane shiriki sasa uweze kuibuka na mkwanja wako.
Meridianbet kwa mara nyingine tena wanakuletea shindano la michuano ya kasino inayofahamika kama shindano la mabingwa ambapo mshindi ataondoka na kitita cha milioni moja taslimu, Shindano hili la mabingwa limeanza toka tarehe 10 mwezi huu wa kwanza na kumalizika kwa tarehe.
Shindano hili litahusisha wateja wote ambao watakua wamejisajili na Meridianbet ambapo watapata fursa ya kuondoka na kitita hichio kabambe msimu huu wa sikukuu na kukufanya kufunga na kuanza mwaka kibabe kabisa.
Michezo ambayo itahusishwa kwenye shindano hili la mabingwa ni kama ifuatavyo Book of Eksimo, Book of Egypt, Fortune Farm, Sticky 777, Veni Vidi Vici, , Piggy Party, Battle for the Throne, na Bounty Hunters.
Ikumbukwe hakutakua na mshindi mmoja tu wa Milioni moja taslimu pekee kwakua hili ni shindano kubwa na linaendeshwa na mabingwa basi washindi watakua wengi na watachukua kitita kama ifuatavyo
Mshindi nafasi ya 1- Tshs 1,000,000
Mshindi nafasi ya 2- Tshs 500,000
Mshindi nafasi ya 3 na 4- Tshs 250,000 kila mmoja
Mshindi nafasi ya 5- Tshs 100,000
Washindi hawataishia watano tu kwani wengine watakua wakipata mizinguko ya bure kwenye michezo mbalimbali ya kasino ambayo watakua wanacheza ambayo itawapa fursa ya kutengeneza maokoto ya kutosha.
Changamkia fursa kwa kucheza shindano hili la michuano ya Expanse kipindi hiki cha January ambapo mambo huonekana kua magumu, Lakini kupitia shindano hili la Expanse unaweza kurahisisha maisha kwa kujishindia mkwanja wa kutosha.
Mbali na kucheza michezo mbalimbali ya kasino lakini pia Meridianbet wanakukumbusha usisahau kubashiri michezo mbalimbali kwani ligi mbalimbali barani ulaya na dunia nzima zinaendelea karibu kila siku.