HAWA HAPA WACHEZAJI WA SIMBA WATAKAOIBUKIA ANGOLA

MSAFARA wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids, Januari 9 2025 umekwea pipa kulekekea nchini Angola kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wao ujao kimataifa dhidi ya Bravos unaotarajiwa kuchezwa Januari 12 2025.

Wachezaji 22 wapo kwenye orodha ya mastaa wa Simba ambao watakuwa na kazi kwenye mchezo huo wa makundi, hiki hapa kikosi kazi namna hii:-

MAKIPA

Mousa Camara, Hussen Abel na Ally Salim

MABEKI HAWA HAPA

Karabou Chamou, Che Malone, Abdulazack Hamza, Zimbwe Jr, Shomari Kapombe, Kelvin Kijili

VIUNGO HAWA HAPA

Mzamiru Yassin, Fabrice Ngoma, Yusuph Kagoma, Elie Mpanzu, Augustine Okejapha, Kibu Dennis, Deborah Mavambo, Ladack Chasambi, Awesu Awesu, Jean Ahoua, Edwin Balua

WASHAMBULIAJI:-Leonel Ateba na Valentino Mashaka.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.