CHELSEA, CITY, BARCELONA, LEIPZIG KUKUTAIRISHA

Leo ni wewe tuu ushindwe kuondoka na mapene ya maana ukitulia na kusuka jamvi lako la uhakika. Odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa.

Ligi kuu ya Italia SERIE kuendelea leo ambapo mechi ya mapema kabisa ni hii ya Hellas Verona dhidi ya Inter Milan ambao wanahitaki ushindi ili wake kileleni. Mara ya mwisho kukutana walitoa sare. ODDS za mechi hii ni 7.20 kwa 1.43. Jisajili hapa.

Pia kutakuwa na mechi kali kati ya AC Milan vs Juventus majira ya saa 2:00 usiku ambapo kila timu inahitaji pointi 3 leo hii. Ni suluhu iliyopatikana mechi ya mwisho walipokutana. Je beti yako unaiweka kwa nani leo?. Bashiri mechi hii yenye 2.20 kwa 3.50 ndio ODDS za mechi hii.

Atalanta atakuwa mgeni wa Parma ambaye yupo nafasi ya 13 kwenye ligi. Gasperini akishinda leo anaongoza ligi hivyo ushindi huu wa leo ameutolea sana macho. Tengeneza jamvi na uweke mechi hii yenye ODDS 5.20 kwa 1.61.

Jumamosi ya kuondoka na maokoto ndio hii ya leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Wakati kule Uingereza EPL leo mapema kabisa saa 9:30  Chelsea baada ya kutoa sare mbili mfululizo, leo hii atakuwa mgeni wa Leicester City ambao wapo nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi. Meridianbet wanawapa The Blues nafasi ya kushinda leo kwa ODDS 1.45 kwa 6.80. Jisajili hapa.

Pia Everton atakiwasha dhidi ya Brentford huku mara ya mwisho kukutana, The Toffees walishinda, hivyo basi leo hii ni siku ya Thomas Frank na vijana wake kulipa kisasi. Tofauti ya pointi kati yao ni 6 pekee. Je nani kuibuka na ushindi leo?. Mechi hii ina odds 2.42 kwa 3.00. Bashiri hapa.

Nao Arsenal chini ya Mikel Arteta watakuwa na kibarua cha kusaka pointi 3 dhidi ya Nottingham Forest ambapo timu hizi zote zinafanana pointi ila kinachowatofautisha ni magoli pekee. The Gunners wana mechi 4 hajashinda kwenye ligi. Je vijana wa Nuno Santos watamzuia Arteta kushinda leo?. 1.40 kwa 8.20 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.

Na mechi kali leo hii ni hii ya bingwa mtetezi Manchester City vs Tottenham majira ya saa 2:30 usiku ambapo Pep Guardiola na vijana wake watakuwa wakiuchukulia huu mchezo wa leo kwa jicho lingine baada ya kukosa pointi 3 kwenye mechi mbili zilizopita. Nani kushinda leo?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.41 kwa 6.40. Jisajili hapa.

Bashiri pia mechi za BUNDESLIGA RB Leipzig atasafiri kusaka pointi 3 dhidi ya TSG Hoffenheim ambao wana pointi 9 pekee kwenye michezo 10 ambayo wamecheza. RB anahitaji ushindi leo kuendelea kujikita kileleni. Je mwenyeji atamzuia?. Mechi hii ina ODDS 3.25 kwa 2.18. Suka jamvi hapa.

Huku Borussia Dortmund yeye baada ya kupoteza mechi yake iliyopita, leo hii atamualika kwake SC Freiburg ambao walitoa sare mechi yao iliyopita. Borussia wamepita pointi moja pekee na wageni wao. Nani kuondoka kifua mbele leo?. 1.80 kwa 4.30 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri hapa.

Bingwa mtetezi Bayer Leverkusen atakuwa na kibarua cha kusaka ushindi nyumbani dhidi ya FC Heidenheim ambao wapo nafasi ya 16 kwenye ligi. Alonso na vijana wake wanahitaji kushinda leo baada ya kutoa sare mechi yao iliyopita. Beti mechi hii yenye ODDS 1.20 kwa 14. Beti hapa.

Kule LALIGA leo hii kuna mechi za pesa pia ambapo Valencia ambaye ndiye kibonde wa ligi, atamualika kwake Real Betis ambaye yupo nafasi ya 7. Mwenyeji anataka kushinda leo hii ili alipe kisasi cha kupokea kipigo mechi ya mwisho walipokutana. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri hapa.

Naye Diego Simeone na vijana wake Atletico Madrid watakuwa nyumbani kusaka pointi 3 dhidi ya Deportivo Alaves ambao wapo nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi.

Mtanangewa mwisho kukutana, Atletico alipoteza. Je leo hii atalipa kisasi?. 1.48 kwa 8.00 ndio ODDS za mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.

Nao vinara wa Hispania, Barcelona baada ya kupoteza mechi yao iliyopita, leo hii watakuwa wageni wa Celta Vigo ambao hawapewi nafasi kubwa ya kushinda ndani ya Meridianbet leo. Je wewe unampa nani kuondoka na ushindi wa uhakika leo?. Mechi hii imepewa 4.80 kwa 1.67. Jisajili hapa.