ITALIA YAFUNGWA 3-1 DHIDI YA UFARANSA, ENGLAND 5-0 IRELAND

Timu ya taifa ya Italia ikiwa nyumbani katika dimba San Siro imekubali kichapo cha 3-1 dhidi ya Ufaransa kwenye mchezo wa UEFA Nations League huku Ufaransa ikivunja mwiko wa miaka 18 wa kutopata ushindi dhidi ya Italia kwenye mechi za kiushindani.

FT: Italy 🇮🇹 1-3 🇫🇷 France
⚽ 35’ Cambiaso
⚽ 2’ Rabiot
⚽ 33’ Vicario (og)
⚽ 65’ Rabiot

MATOKEO MENGINE

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 England 5-0 Ireland 🇮🇪
🇫🇮 Finland 0-2 Greece 🇬🇷
🇦🇹 Austria 1-1 Slovenia 🇸🇮
🇳🇴 Norway 5-0 Kazakhstan 🇰🇿
🇱🇻 Latvia 1-2 Armenia 🇦🇲
🇲🇰 North Macedonia 1-0 Faroe Islands 🇫🇴