REAL MADRID, LIVERPOOL, AS MONACO, NA WENGINE KUKUPATIA MAPENE LEO

Jumanne ya leo ni ya kuchukua mzigo wa kutosha na Meridianbet kwani mechi zinajieleza. Nani na nani unampa leo ushindi uondoke ukifurahia na kubashiri na wakali wa odds Tanzania?

Kwanza kabisa suka jamvi mechi ya Sporting Lisbon vs Manchester City ambao wapo vibaya hivi karibuni. Timu zote zina pointi 7 hadi sasa hivyo leo kila mmoja anafukuzia ushindi kufikisha pointi 10. Vijana wa Pep Guardiola kushinda leo wana ODDS 1.95 kwa 3.90. Beti hapa.

Kwa upande wa Bologna ambao wana pointi 1 watauamana dhidi ya AS Monaco ambao wao wana pointi 7 hadi sasa. Tofauti ya pointi kati yao ni 6 huku Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda leo Mfaransa kwa ODDS 2.65 kwa 2.80. Bashiri sasa.

UEFA ya leo imekuja kivingine. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Vilevile PSV baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita atakipiga dhidi ya Girona aliyeshinda. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kutoka Uholanzi akiwa na ODDS 1.75 kwa 4.40. Jisajili hapa.

Muda huo huo Dinamo Zagreb atakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Slovan Bratslava ambaye kwenye mechi 3 zote alizocheza amepoteza leo. Je leo hii mwenyeji huyo anaweza kufufukia kwa vijana kutoka Croatia.?. Mechi hii imepewa ODDS 3.85 kwa 1.95. Bashiri hapa.

Mabingwa mara nyingi wa michuano hii Real Madrid watakiwasha dhidi ya AC Milan ya Fonseca mechi kali kabisa ya kutazama majira ya saa 5:00 usiku. Real ameshinda mechi zake 2 na Milan kashinda moja pekee. Mara ya mwisho kukutana, ilikuwa Agosti mechi ya kirafiki na Carlo alipoteza. Beti yako unampa nani leo?. 1.45 kwa 6.40 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.

Baada ya kupasuka mechi yake iliyopita akiwa nyumbani safari hii Juventus atasafiri hadi Ufaransa kusaka pointi 3 dhidi ya Lille ambao nao pia walipoteza lakini wakiwa nyumbani. Nani kuondoka na pointi tatu siku ya leo?. Mechi hii ina ODDS 3.00 kwa 2.55. Jisajili hapa.

Liverpool ya Arne Slot watakuwa wenyeji wa Bayer Leverkusen ya Alonso huku Jogoo akiwa kashinda mechi zake zote 3 na mgeni wake akishinda mbili na sare moja. Mara ya mwisho kukutana ni 2012 kwenye mechi ya kirafiki na Liver alishinda. Je leo hii Leverkusen ataweza kufurukuta ugenini? Suka jamvi lako mechi hii na ODDS zake ni 1.80 kwa 4.10.

Mechi nyingine ya  pesa ni hii ya Celtic vs RB Leipzig ambaye mpaka sasa anapumulia mashine mechi zote 3 amepigika wakati mwenyeji kutoka kule Scotland yeye akiambulia pointi 4 kwenye mechi 3. RB anahitaji kupata ushindi wa kwanza leo. 2.75 kwa 2.50 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.