KIKOSI cha Yanga dhidi ya Simba Oktoba 19 2024 ikiwa ni Kariakoo Dabi kipo tayari kuelekea kwenye mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.
Kikosi cha kwanza hiki hapa:-Dijgui Diarra, Yao, Ladack Boka, Dickson Job, Ibrahim Bacca, Khalid Aucho, Maxi Nzengeli, Mudathir Yahya, Prince Dube, Aziz Ki na Pacome kwa kikosi cha kwanza.
Wachezaji wa akiba ni Khomein, Mshery, Bakari Mwamnyeto, Jonas Mkude, Duke Abuya, Wilson, Ibrahim, Clatous Chama, Musonda, Baleke na Mzize.