>

Sinza Star FC Yafikiwa Rasmi na Meridianbet

Kama ilivyo ada Meridianbet imeendelea na kurejesha kwa jamii ambapo imetoa msaada wa mipira kwa klabu ya Sinza Star FC, ikiwa ni jitihada za kampuni hiyo kusaidia maendeleo ya michezo na kukuza vipaji vya soka miongoni mwa vijana wa mtaa wa Sinza.

Wakati wa hafla ya makabidhiano, Mhariri wa Meridianbet Nancy Ingram alisema, “Tunafuraha kubwa kuifikia Sinza Star FC na kutoa msaada huu wa mipira. Kwa Meridianbet, kusaidia jamii kupitia michezo ni moja ya vipaumbele vyetu. Tunaamini kwamba msaada huu utaongeza ari na hamasa kwa wachezaji, pamoja na kuwasaidia kujiandaa vyema kwa mashindano.”

Lakini pia klabu hiyo baada ya kupokea mipira hiyo, ilitoa shukrani kwa kusema kuwa , “Tunatoa shukrani za dhati kwa Meridianbet kwa kutambua juhudi zetu na kutupatia msaada huu wa mipira. Ni hatua muhimu itakayotuongezea nguvu katika mazoezi yetu na kusaidia kuongeza viwango vyetu vya uchezaji.”

Kwa msaada wa mipira hii, timu inatarajia kuimarisha mazoezi na kujiandaa kwa mashindano mbalimbali ya soka mtaani.

Leo hii mechi kibao za mataifa zinaendelea ingia Meridianbet na usuke jamvi lako kuanzia mechi za hapa Afrika, mpaka kule Ulaya. Pesa ipo mkononi kwako leo usisubiri kuahidithiwa na mtu. Jisajili hapa.

Meridianbet imekuwa ikijitolea kusaidia jamii kwa njia mbalimbali, ikiwemo kufadhili vifaa vya michezo, kusaidia taasisi za michezo, na kutoa misaada inayosaidia kukuza michezo nchini. Kampuni hiyo inaamini kuwa kupitia uwekezaji katika michezo, vijana wataweza kutumia muda wao vizuri, kukuza vipaji vyao, na kuchangia maendeleo ya jamii.

Msaada huu wa mipira ni sehemu ya jitihada za Meridianbet za kuendeleza michezo na kuwapatia vijana mazingira bora ya kujifunza, kushindana, na kuboresha viwango vyao.

Ukiachana na zoezi la ugawaji wa mipira hiyo kumbuka pia kubashiri mechi za leo za mataifa zinazoendelea. ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.