Msako wa pointi tatu Uwanja wa KMC Mwenge Oktoba 4 2024 ni kati ya Simba dhidi ya Coastal Union ya Tanga ndani ya dakika 90.
Rekodi zinaonyesha kwamba Simba na Coastal Union kwenye mechi 10 za hivi karibuni ndani ya ligi ni ushindi mechi 8 ilipata na sare ilikuwa ni 2 kwa timu zote mbili.
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka,mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu, kukipata 0756 028 371.