>

WAANDISHI WA HABARI LEO WAPATA FURSA YA KUTEMBELEA MAKAO MAKUU YA KLABU YA YANGA

Waandishi wa Habari leo wamepata fursa ya kutembelea Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam na kufanya mahojiano na maafisa mbalimbali wa Yanga.

Kwa mujibu wa kanuni, kila timu ya Ligi Kuu inapaswa kuandaa siku moja ya kuwaalika waandishi wa habari kuangazia masuala mbalimbali yanayoihusu klabu

Kwa upande wa klabu ya Yanga ilichagua Septemba 17 kuwa siku maalum ya kukutana na wanahabari