>

PYRAMIDS FC WATAKA 2.7B KUTOKA GETAFE CF YA SPAIN ILI WAMUACHE IBRAHIM ADEL

Pyramids FC wanataka $1 million (2.7b Tsh) kutoka Getafe CF ya SPAIN ili wamuache Ibrahim Adel kwa mkopo.

Getafe CF wametuma ofa rasmi kumuhitaji Ibrahim Adel kwa mkopo pamoja na chaguo la kumnunua moja kwa moja.

Mazungumzo yanaendelea vilabu vyote

Adel amecheza mechi 81 na uzi wa Pyramids na amefanikiwa kufunga magoli 21 ..

(Chanzo: Filgoal)