MZEE SAIDI – ”TUNGEKULA 5 TENA – WAMEMPIGA KANZU DEBORA – YEYE MCHAWI – SHETANI AU MUNGU?”…

Mzee Said mchambuzi wa soka nchini amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa klabu ya Yanga SC ijipange katika mchezo ujao kati ya Simba SC dhidi ya Yanga SC unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 19, 2024.

Mzee Said ameeleza hayo mara baada ya kuchambua mchezo uliotamatika hapo jana katika dimba la Benjamin Mkapa ambapo klabu ya Simba SC ilipoteza mchezo huo kwa kufungwa goli moja kwa bila.