ELLY SASII ACHAGULIWA KUCHEZESHA MECHI YA KARIAKOO DERBY

Mwamuzi Elly Sasii amechaguliwa kuchezesha mechi ya Kariakoo Derby kati ya Young Africans dhidi ya Simba mnamo Agosti 8, 2024 katika dimba la Mkapa

➡️ Mwamuzi Ahmed Arajiga atachezesha mechi ya Azam dhidi ya Coastal Union mnamo Agosti 8, 2024.