SportsAZIZ KI NA FEISAL VITA YAO ILIKUWA NOMA KINOMA, REKODI ZAO HIZI HAPA Saleh4 months ago01 mins AZIZ Ki na Feisal Salum vita yao kwenye rekodi ilikuwa ngoma nzito kutokana na kila mmoja kupambana kufikia malengo yao kwa msimu wa 2023/24 na mwisho Aziz Ki alikuwa namba moja kwenye utupiaji akiwa na mabao 21 Fei mabao 19. Post navigation Previous: BEKI WA CHELSEA, WESLEY FOFANA AOMBA MSAMAHA WACHEZAJI WENZAKENext: TIKETI ZA UBAYA UBWELA KISHWA HABARI YAKE