MATUMAINI YA TANZANIA OLYMPIC 2024 YAPO KWA SIMBU NA WENZAKE

Matumaini ya Tanzania kwenye michuano ya Olympic 2024 yanayoendelea nchini Ufaransa kwasasa yapo kwa Alphonce Simbu pamoja na wenzake ambao wanaiwakilisha nchi kwenye mchezo wa kukimbia mbio ndefu (Marathon).

Mpaka sasa Tanzania imebaki kwenye michuano miwili ambayo ni wa kuongea ambapo kuna mshiriki mmoja huku mmoja akiwa tayari ameondoshwa, Lakini kwenye riadha mbio ndefu wamebaki washiriki wanne ambao inaonekana ndio wanaweza kupambana na kuleta medali nchini.

Wakimbiaji wa mbio ndefu ambao wataiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya Olympic mwaka huu wa 2024 mbali na Alphonce Simbu ni pamoja na Jackline Juma Shakilu, Magdalena Shauri, na Gabriel Geay.

Alphonce Simbu amekua na rekodi nzuri kwenye michuano mbalimbali ambayo amekua akishiriki, Hivo kufanya matumaini ya Watanzania kuamini yeye pamoja na wenzake watatu ndio wanaweza kuiweka nchi kwenye ramani kwa kushinda medali.

Michezo ya Olimpic 2024 inaendelea huko nchini Ufaransa ambapo maono na matumaini ya Taifa la Tanzania yamebebwa na wakimbiaji wa riada za mbio ndefu anayepeperusha vyema bendera ya Tanzania. Cheza pia michezo ya Kasino mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roulette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Michuano ya Olympic mwaka huu inaonekana kua yenye mvuto zaidi ukilinganisha na miaka mingine ya hivi karibuni jambo ambalo limewavuta watu wengi kutazama michuano, Huku Meridianbet wakiendelea kumwaga ODDS NONO kwenye michezo inayopigwa kwenye Olympic 2024.