MWILI wa BILIONEA MANJI ULIVYOSWALIWA MSIKITINI USIKU MAREKANI TAYARI KWA MAZIKO

Mchambuzi nguli wa habari za michezo, Saleh Ally Jembe amemzungumzia marehemu Yusuph Manji kuwa alikuwa na mchango mkubwa kwa Klabu ya Yanga na mafanikio ambayo klabu hiyo imeyapata yalianzia kwa Manji.