Wenyeji Ujerumani wameanza michuano ya kombe la Mataifa Ulaya EURO 2024 kwa ushindi mnono dhidi ya Scotland katika dimba la Allianz Arena, Munich.
FT: Ujerumani ?? 5-1 ??????? Scotland
⚽ Wirtz 10’
⚽ Musiala 19’
⚽ Havertz 45’
⚽ Fullkrug 68’
⚽ Can 90+3’
⚽ Rudiger (og) 87’