Hayawi hayawi sasa yamekuwa na Waswahili husema kuwa usiku wa deni haukawii kukucha na hii inatupeleka moja kwa moja mpaka Uingereza ambapo ndio ligi iliyobaki pekee haijatoa bingwa wa EPL. Je ni Pep au Arteta?
EPL leo katika dimba la Emirates, Arsenal watakuwa wakisaka pointi tatu za ubingwa dhidi ya Everton ambao wapo nafasi ya 15 kwenye ligi. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda Arteta kwa ODDS 1.13 kwa 16.66. Beti hapa.
Wakati Manchester City leo hii wanataka kutetea taji lao la 4 mfululizo dhidi ya West Ham United ya David Moyes ambapo wanahitaji ushindi pekee. Mara ya mwisho kukutana Pep Guardiola na vijana wake walishinda. Je leo hii kwa ODDS 21.56 na 1.08 nani kuibuka mbabe?. Jisajili hapa.
Chelsea watakiwasha dhidi ya AFC Bournemouth katika dimba la Stamford Bridge ambapo Pochettino anataka kucheza Europa msimu ujao hivyo hata sare kwake inafaa. Mechi ya kwanza walitoshana nguvu. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Suka jamvi lako sasa.
Ligi mbalimbali zikiwa zinamalizika, kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.
Mashetani Wekundu, Manchester United wao baada ya kushinda mechi yao iliyopita, leo hii watamaliza ligi na Brighton ambao walipoteza mechi yao iliyopita. Mechi ya mkondo wa kwanza United walipigika vibaya sana. Je leo hii wanaweza kulipa kisasi?. Mechi hii imepewa ODDS 2.30 kwa 2.65. Tengeneza mkeka na Meridianbet.
Ligi kuu ya Ufaransa LIGUE 1 pia kutakuwa na pesa za kutosha ambapo mechi zote kupigwa saa 4:00 usiku. Lille atakipiga dhidi ya OGC Nice ambapo timu hizi hazipishani sana kwenye msimamo mwenyeji wa 3 na mgeni wa 5. Lakini Meridianbet wamempa mwenyeji nafasi kubwa sana ya kushinda kwa ODDS 1.48 kwa 6.27. Beti hapa.
FC Metz wao watakiwasha dhidi ya bingwa mtetezi PSG ambaye kushinda ana ODDS 1.56 kwa 5.48. Mara ya mwisho walipokutana, Paris walishinda. Je leo hii mwenyeji anaweza kulipa kisasi?. Tengeneza pesa na mechi hii sasa.
Pia Monaco atakipiga dhidi ya Nantes ambao wanapumulia mshaine nafasi ya 14 kwenye ligi tofauti ni pointi 31 mpaka sasa. Monaco ana ODDS 1,38 kushinda kwa 6.46. Mechi ya mkondo kwanza walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuondoka na pointi 3?. Jisajili hapa.
SERIE A hapapoi napo saa 10:00 jioni AC Monza atamualika Frosinone huku tofauti ya pointi kati yao ni 13 pekee. Ndani ya Meridianbet mgeni kapewa nfasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 2.25 kwa 3.04. Wewe unampa nani?. Tengeneza mkeka wako sasa.
Saa 1:00 usiku bingwa mtetezi Inter Milan wao watakuwa na kibarua cha kuchuana na Lazio Rome ambapo timu zote zimetoka kushinda michezo yao iliyopita. 1.59 kwa 5.09 ndio ODDS za mechi hii. Ingia na ubeti na meridianbet.
Naye AS Roma atakuwa nyumbani dhidi ya Genoa ambaye yupo nafasi ya 11 kwenye msimamo. Roma anapewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi kwa ODDS 1.50 kwa 6.07. Wewe unampa nani akupe pesa leo?. Bashiri kijanja hapa.
Ligi kuu ya Hispania LALIGA, majira ya saa 2:00 usiku mechi zote zitapigwa, Athletic Club atakuwa mwenyeji wa Sevilla ambaye yupo nafasi ya 12 kwenye ligi. Mwenyeji katoka kupoteza mechi yake iliyopita huku leo hii akipendelewa kushinda mchezo huu kwa 1.62 kwa 5.29. Bashiri na meridianbet mechi hii.
Nao mabingwa wa ligi hii Real Madrid watakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Villarreal. Mwenyeji kapewa ODDS 3.19 kushinda mechi hii kwa 2.06 ambapo mechi ya mwisho wlaipokutana Real alishinda. Je leo hii Nyambizi wa Njano atalipa kisasi?. Suka mkeka wako hapa.
Valencia atamenyana dhidi ya Girona ambao wamekuwa na msimu mzuri sana wakishika nafasi ya 3 kwenye ligi mpaka sasa. Mwenyeji yupo nafasi ya 9 na kushinda kapewa ODDS 3.04 kwa 2.24. Tofauti ya pointi kati yao ni 27. Suka jamvi sasa.
Vilevile Barcelona chini ya kocha mkuu Xavi Hernandez watakuwa nyumbani kuchuana vikali dhidi ya Rayo Vallecano. Timu zote zimetoka kushinda mechi zao zilizopita, huku mechi ya mwihso hakukuwa na mbabe. Nani kushinda leo. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Beti sasa.