Umepita Mwaka mmoja tangu yafanyike makubaliano ya maridhiano ya kibiashara kati ya Meridianbet na Golden Matrix Group, ilikuwa ni Januari 2023 sehemu ya maridhiano hayo ilikuwa ni umilikishwaji wa hisa za Meridianbet Group kwa GMG.
Na sasa baada ya hayo kufanyika wachezaji na wafuasi wa Meridianbet wanaweza kuwa sehemu muhimu wa kampuni sio tu kwa kubashiri michezo au kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni, bali wanaweza kuwa sehemu ya umiliki wa kampuni kwa kununua hisa kiwango watakacho kupitia soka la Kimataifa la Nasdaq ambalo ni sehemu ya mshirika kibiashara na GMG.
Meridianbet imeweka historia tena ya kuingia kwenye biashara kubwa ya kimataifa kwa kuwafikia watu wengi Zaidi na kuongeza uvumbuzi kwa upande wa michezo ya ubashiri na kasino ya mtandaoni kwa mujibu wa Mkurungezi Mtendaji Mkuu wa Meridianbet Zoran Milosev.
“Tunafurahi kujiunga na Nasdaq kama sehemu ya Golden Mtrix kwani itatuongezea ukuaji na fursa za kujipanua zaidi katika maeneo mapya. Ushirikiano huu utatumia nguvu zetu pamoja, ukiwa na lengo la uvumbuzi na faida.”
Kwa upande wa CEO wa Goldem Matrix Brian Goodman alisema;
“Hii ni wakati muhimu kwa pande zote mbili. Kwa kutumia uwepo wa soko wa kuvutia wa MeridianBet, teknolojia na ujuzi, pamoja na uteuzi wetu mpana wa huduma, tunajiandaa kubadilisha viwango vya sekta kimataifa.”
Unasubiri nini kumiliki kampuni, kimbilia fursa hii chap chap kuwa sehemu ya mabilionea wa sasa na baadae ambao wanafanya uwekezaji kimtaifa kwa mtaji mdogo. Biashara ya hisa ni moja kati ya mbinu inayotumiwa na matajiri wengi kujiongezea kipato, usikubali kupitwa wakati ni wako na Meridianbet ndiyo chimbo lako la utajiri.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz