VIDEO: YANGA: WANAPOTUKATIA TAMAA HAPO TUNAPATAKA, TUTAWAONYESHA

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa pale wanapokatiwa tamaa kushindwa kufanya vizuri kwenye anga la kimataifa hapo wanapataka kwa kuwa ni njia kwao kuoyesha uwezo wao ndani ya uwanja na inawezekana. Machi 30 Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi inatarajiwa usaka ushindi dhidi ya Mamelodi Sundwons Uwanja wa Mkapa ikiwa ni hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika.