AZIZ KI WA YANGA ANA BALAA HUYO

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Aziz KI chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ana balaa huyo ndani ya uwanja kutokana na kutimiza majukumu yake kwa umakini akishirikiana na wachezaji wenzanke ndani ya uwanja katika kusaka ushindi. Ni namba moja kwa utupiaji ndani ya ligi katika kikosi cha Yanga akiwa na mabao 13.