CLATOUS Chama kiungo wa Simba anaingia kwenye orodha ya nyota waliokuwa na siku nzuri kazini kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy na alifanya kazi kubwa akishirikiana na wachezaji wengine kutimiza majukumu ndani ya uwanja wa Mkapa.